Claude Makele Akelwa na Ushangiliaji wa Paul Pogba


Mkongwe wa Ufaransa Claude Makelele ameamua kutia neno kuhusu mchezaji Paul Pogba anayeichezea Man United, Makelele ameamua kutia neno kuhusiana na style ya ushangiliaji ya mchezaji huyo ambayo amekuwa akiitumia kwa sasa anapoifungia Man United.

No comments

Powered by Blogger.